Bizner za Daily ni Blog ambayo imetengenezwa kutokana na maoni ya wengi hususan vijana,wazee na rika la kati. Kutokana na kwamba Biashara na maisha ya siku izi yamekua kisayansi zaidi na teknohama vile vile.
Mimi kama kijana pia ambaye nina malengo na thumuni la kujiendeleza kila siku ya Mungu, nimeona kwa uelewa wangu wa Computer,Programs na interent sikuona taabu kutengeneza hichi kitu ili angalau tusogee mbele kidogo ata Safari huanza kwa Hatua Moja tu.
There so many guys who have inspired me to work these out and make it a reality and an ambition fulfilled.
Much thanks to :-
Tonald roberts