Saturday, July 2, 2016
Moshi Institute Of Technology M.I.T
Hichi ni chuo ambacho kimesajiliwa na VETA na wana uzoefu wa kutoa mafunzo kama:
Computer ngazi ya Awali, Cheti na Diploma, Ufundi wa Kompyuta(Computer Maintenance),
Uhazili na utunzaji wa Ofisi (Secretarial Courses), Lugha ya Kingereza na Kifaransa, Uhasibu wa kutumia Kompyuta(Quick Books, Tally, Pastel), Uundaaji Tovuti (Website designing), Graphics Designing na Ufundi wa Mitandao (Computer Networking).
Tupo Jengo la TCGA Ghorofa kwanza, Mkabala na Uhuru Park/ Bristol Cottages.
Mawasiliano: 0754 469 894/ 0652 765 263/ Tel: 02750531 Pata Maelezo zaidi hapa
djmwanga
Unapenda muziki wa Kitanzania yani Bongo Fleva, Rhumba, Taarabu, Hip Pop ya kikwetu kwetu chungulia katika link hapo chini na utanielewa vyema ndugu asante.
Kama wewe ni mpenzi wa muziki na hujui utaupata wapi, aise kuna huyu jamaa anaitwa DJMWANGA.COM hapo ukigusa tu unapata ngoma kali sana na mpya.
Bofya hapa kwa ngoma mpya kali.
Subscribe to:
Posts (Atom)