Tuesday, September 20, 2016


WANA WA MOSHI NA VITONGOJI VYAKE MUNA HABARISHWA KUWA Fiesta IMooo kweli na kipindi hichi kinafwata ni pande za kaskazini. Wasanii kibao akiwemo MAUA SAMA, Weusi, Mr Blue na wengine kibao watakuwa wanakinukisha pale mitaa ya Majengo siku ya Jumapili hii mwanangu usikoseeeeee

No comments: